Ng'ombe na Fisi (The ox and the hyena) Swahili fairytale, Hadithi Siku moja Fisi alikuwa Katika mawindo yake kwa akamwona Ng'ombe mbali akila nyasi. Akamnyemelea huku amemkazia macho kuwa bila na na habari palikuwa shimo HAPO caribou. Mara akaanguka shimoni, pu! Alipokuwa shimoni, alipaza Sauti akaimwita Ng'ombe "Ee! Rafiki yangu Ng'ombe, Njoo unisaidie nitoke shimoni. "Ng'ombe aliposikia Sauti alikwenda mahali ilipotokea. taxisnet Alipofika HAPO alimkuta Fisi ndani ya shimo. Fisi akamwambia, "Tafadhali rafiki yangu, nisaidie taxisnet nitoke taxisnet humu shimoni". Ng'ombe alimhurumia Fisi, alimgeukla na kumwambia, "Shika mkia Wangu, nitakuvuta Kutoka shimoni." Fisi aliushika molecules mkia na Ng'ombe akamvuta taxisnet Fisi Mpaka nje ya shimo. Alipotoka nje, Fisi alimgeukia Ng'ombe na kumwambia, "Siku nyingi sijala nyama ya ng'ombe, naona wewe na u mnono unanitosha kwa siku Mbili." Ng'ombe alijitetea kwa kusema "Mimi taxisnet nimekusaidia kama rafiki, vipi tena unataka Kunila?" Kware aliyekuwa matembezini, aliwakuta wakibishana. Aliwauliza, "Mbona taxisnet mnagombana?" Ng'ombe alimweleza vile alivyomwokoa Fisi na sasa anataka kumla. Kware akamwambia Ng'ombe, "Siyaamini Maneno yako!" Akamgeukia Fisi na kumwambia, "Hebu, ingia kwenye shimo, nione vile Ng'ombe alivyokuokoa." taxisnet Fisi alikubali kuingia taxisnet shimoni. Kware alipomwona Fisi arne rudi shimoni alimwambia, "Hukuwa shukrani na kwa yale uliyotendewa na Ng'ombe. Kwaheri tunakwenda zetu. "Ng'ombe na na Kware wakaondoka kumuacha Fisi shimoni. Tangu siku HiYo Kware na Ng'ombe wamekuwa marafiki wa chanda na pete.
One day the hyena was on their hunt, as they saw the cattle in the distance as it ate grass. Then she crept up without the pit to be aware of which was located near there. Suddenly she fell into the pit. Pu! When she was in the pit, she raised her voice and called the cattle "Ee! Cattle my friend, come and help me out of the pit to come "
The hyena grabbed taxisnet the tail and the ox pulled the hyena from the pit outside. When she was outside, the hyena turned to the beef and said, "For many days I have not eaten beef, when I see you - you're fat and givest me for two days" taxisnet
The beef defends taxisnet himself by saying: "I have helped you as a friend, how can you then want to eat me" taxisnet The partridge was on a walk and met them as they were disputing. It asked: "Why are you arguing?" The ox told him how it saved the hyena and that she wants to eat it now. The partridge then said to the beef: "I think your words do not" And turning to the hyena said it "So taxisnet be it, go into the pit that I can see has saved you like the ox.". The hyena agreed to go into the pit. As the partridge taxisnet saw that the hyena had returned to the pit said it. "You were not grateful for how you have been saved from cattle. Goodbye, we now go on our way, "The ox and the partridge went on their way, leaving the hyena back in the pit.
About Me Name: mvuabluu Location: Kulungsi, milking Borg, Germany taxisnet View my complete profile Previous Posts When the peacock feathers lost Kilichomtoa kanga many ... vitenzi .. verbs shina ... root, origin, Pfl ...
No comments:
Post a Comment